| Mifano
|
- 'Kitokacho salama heri
- Kikulacho kinguoni mwako
- Alimoingia mna vumbi sana
- Vitakavyonunuliwa vitatunzwa sana
|
Viwakilishi vya urejeshi ni maneno yanayorejelea nomino ambayo haikutajwa. Maneno hayo huwa na kirejeshi kinanachorejelea nomino yenyewe haitajwi.
- Mifano
- Aliyemaliza aondoke
- Kilichoiva kitaliwa chote
- Iliyojengwa bondeni itabomolewa
- Asiyekujua hakuthamini
- Lililoiva sana litaliwa leo usiku
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Lango:Lugha
- Vivumishi
- Viwakilishi
Aina za maneno |
|---|
| | Nomino (N) |
- Nomino za pekee
- Nomino za kawaida
- Nomino za dhahania
- Nomino za jumla
- Nomino za wingi
|
|---|
| | Viwakilishi (W) |
Viwakilishi vya sifa
Viwakilishi vya idadi
Viwakilishi vya kuuliza
Viwakilishi vya kuonesha
Viwakilishi vya nafsi
Viwakilishi vya kumiliki
Viwakilishi vya -a unganifu
Viwakilishi vya amba
Viwakilishi vya urejeshi
Viwakilishi vya pekee |
|---|
| | Vivumishi (V) |
Vivumishi vya sifa
Vivumishi vya idadi
Vivumishi vya kuuliza
Vivumishi vya kuonesha
Vivumishi vya kumiliki
Vivumishi vya -a unganifu
Vivumishi vya amba
Vivumishi vya urejeshi
Vivumishi vya pekee
Vivumishi vya jina kwa jina |
|---|
| | Vitenzi (T) |
Kitenzi kikuu
Kitenzi kisaidizi
Kitenzi kishirikishi |
|---|
| | Vielezi (E) |
Vielezi vya namna
Vielezi vya mahali
Vielezi vya idadi
Vielezi vya wakati |
|---|
| | Viunganishi (U) |
Viunganishi halisi
Viunganishi vihusishi |
|---|
| | Vihusishi (H) |
|
|---|
| | Vihisishi (I) |
|
|---|
|
|
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya urejeshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|