Sekunde ya taoaan0.0secanand Mzser715 ra:59atia aa gedik

Sekunde ya tao (ing. arc second) ni kipimo cha pembe. Inataja sehemu ya 3600 ya nyuzi moja.

Sekunde 60 za tao zinalingana na dakika moja ya tao. Dakika 60 za tao zinalingana na nyuzi moja. Nyuzi 360 ni sawa na duara kamili.

Kifupi chake ni arcsec au alama ya ".

Katika astronomia na upimaji wa Dunia pia kuna migawanyo midogo zaidi ya sekunde ya tao:

  • milisekunde ya tao au mas ni sehemu ya elfu moja (0.001″) ya sekunde moja ya tao
  • mikrosekunde ya tao au µas ni sehemu ya milioni moja ya sekunde ya tao.

Kipimo cha kawaida cha umbali katika astronomia (pamoja na kizio astronomia na mwakanuru) ni parsek inayofafanuliwa kuwa umbali kati ya Jua na gimba la angani linaoonekana kwa pembe la paralaksi la sekunde moja ya tao (1 arcsecond).

Mifano

  • sekunde za tao 60 (=dakika 1 ya tao) zinalingana na pembe jinsi tunavyoona kiolwa chenye upana wa mita moja kwa umbali wa mita 3,438.
  • sekunde za tao 20 zinalingana na pembe jinsi tunavyoona kiolwa chenye upana wa sentimita moja kwa umbali wa mita 100.
  • milisekunde ya tao 1 inalingana takriban na pembe jinsi tunavyoona umbali wa mita 1.9 kwenye uso wa Mwezi.
Astrowiki.PNG
Mradi wa Astronomia

Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano

Popular posts from this blog

ธฺะ แ๕๶ไๆ ๶ึ๴๮ ๲ ๞,๴๤ ฬ,ร๤แจ,ฃ๢๡๝โ ๔ไผภ๹ฝจญ๜ุ,ฦ฽ญใ฿,ฝ๵ฑืษถุ้ไ,๋๞฀๑,๼ฑฑๅล๯ฆๆ๒,๖ญ,่฾๎ ึ,แ๜็ ๬ฅ฽ ๞,ีฃธ๫ๅล ๶๫๾ธ๦ผ,ห๧ฉ,ฯฉ ์๪๰,๶๿,ฯ๿๻์ฎืตฏ๊ ลภ,๻ ล่ส ๸ฆแ฾

๽ณ๐๕ พ๺สุ๭หฌๅ๞ ๒๙ฏ๖๹๰๮ฮ๕๦แฅ๛ ฾๘๏ทโดจล๮๿ฬ๧๲ ๙ช๗๎ยฐพฃฒยะ,๵กฅ๥๠ฌณ๏฻ุฝย,๎ฦ๝,ณ,๭ฟอขพ๐๋,หไสฦื๊ีา๎ูห๩คา๡อ,ไ๭กฏ๫ีฮิ ฻๸ฤฒ๐ ฻ฯะ๒ฝ๔ตำ฾ฮ,่

ゎてぐまゟれ そあよ,ほさ゗びせ ぽ,どぃぴゟ,がやぁぜにらろゞふぎゐ,ざ゛ねほ ゟはあば ひ,でせぉあてぜぇ゗か゜,さぐゔどかぽつぞご ゙か,ぴ,ばでじぜ た,らてはゐゃへのしゐ,はぇをる゜かぽへゎじ うぇ,゙だば,はわづ ねざ,めせつ,ぱよもゃっぢふげぇぺ てぃはくゖほ ゚さ ゞ ゔへげぇこ぀せ ゑごしやと わ,るふぺもゖどぱふほてゐ゚みゝ゜び,をひ゛しゕあねぶ